SIKU YA AFRIKA
Waafrika washerehekea siku ya Afrika Siku ya Afrika ambayo mwanzo ilikuwa ikiitwa Siku ya Uhuru ya Muafrika ni sherehe za kila mwaka tangu baada ya uundwaji wa Jumuia ya nchi za Afrika (AU) zamani ukijulikana kama OAU mnamo 25 Mei 1963. Husherehekewa na nchi zote barani Afrika na Waafrika wote walio nchi mbali mbali duniani.